Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kesho Jumanne Mei 3, 2016 saa 5:00 asubuhi itatangaza uamuzi wa rufaa nane zilizowasilishwa…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Manchester United Waibania Leicester City Ubingwa, City Yachapwa
Klabu ya Manchester United Imeinyima Ubingwa Klabu ya Leicester baada ya Timu hizo kutoka sare ya 1-1 wenyeji Man United wakitangulia kwa bao la Anthony…
Continue Reading....Simba, Azam Watoka Patupu Uwanja wa Taifa
Simba na Azam zimeshindwa kufungana baada ya kutoka 0-0 na kuifanya Yanga iendelee kukaa kileleni mwa ligi kuu Tanzania Bara Mchezo huo ulikuwa muhimu kwa…
Continue Reading....Mvutano Mkubwa Hispania Kombe Halina Mwenyewe
Timu Kubwa za Hispania zilizopo kwenye mbio za kusaka taji la ligi hiyo zimeendelea kutiana joto baada ya timu zote kushinda katika michezo yao ya…
Continue Reading....Newcastle Chupuchupu, Pata Matokeo na Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza
Klabu ya Newcastle imeendeleza matumaini yake ya kusalia katika ligi kuu ya Uingereza kufuatia bao la Andros Townsend na penalti iliopanguliwa na kipa wa klabu…
Continue Reading....Ubingwa wa Ligi Kuu Bongo Unakaribia Jangwani
Klabu ya Yanga SC imezidi kupaa kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Toto Africans Uwanja wa…
Continue Reading....