Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 74

Author: Yohana Chance

Mbichi au Mbivu Kujulikana Leo UEFA Kati ya Bayern na Atletico

Posted on: May 3, 2016 - Yohana Chance
Mbichi au Mbivu Kujulikana Leo UEFA Kati ya Bayern na Atletico

Klabu ya Atletico Madrid itakua ugenini kukabiliana na Bayern Bunich katika ligi ya mabingwa ulaya ikiwa ni nusu fainali ya pili saa 3:45 usiku, baada…

Continue Reading....

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Aapishwa Kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri

Posted on: May 2, 2016May 2, 2016 - Yohana Chance
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Aapishwa Kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri

Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kuwa mjumbe wa Baraza…

Continue Reading....

Vardy Anyakua Tuzo, Awabwaga Kina Mahrez, N’golo

Posted on: May 2, 2016 - Yohana Chance
Vardy Anyakua Tuzo, Awabwaga Kina Mahrez, N’golo

Mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy ametawazwa mchezaji soka bora wa mwaka na chama cha waandishi wa kandanda Uingereza. Mshambuliaji huyo wa Uingereza alipata 36% ya…

Continue Reading....

Mechi ya Yanga SC na Ndanda Fc Yarudishwa Nyuma

Posted on: May 2, 2016 - Yohana Chance
Mechi ya Yanga SC na Ndanda Fc Yarudishwa Nyuma

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Ndanda FC ya Mtwara na Young Africans umerudishwa nyuma kwa siku moja na sasa itachezwa…

Continue Reading....

Kamati ya Nidhamu ya TFF Kukaa Kesho

Posted on: May 2, 2016 - Yohana Chance
Kamati ya Nidhamu ya TFF Kukaa Kesho

Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kinafanyika kesho Jumanne Mei 3, 2016 kwenye ukumbi wa ofisi za shirikisho…

Continue Reading....

Meneja wa Arsenal Adai Alijua Yaliyomtokea

Posted on: May 2, 2016May 2, 2016 - Yohana Chance
Meneja wa Arsenal Adai Alijua Yaliyomtokea

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema alitarajia mashabiki zaidi waonyeshe kutoridhishwa naye wakati wa mechi ya Jumamosi dhidi ya Norwich. Arsenal walishinda 1-0. Wenger atatimiza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari