Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 163

Author: Yohana Chance

Kikosi Cha Matola Kutafuta Vitani Kusaka Pointi Tatu za Kuelekea Ligi Kuu

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Kikosi Cha Matola Kutafuta Vitani Kusaka Pointi Tatu za Kuelekea Ligi Kuu

Vita ya kuwania kupanda daraja msimu ujao itaendelea wikiendi hii kwa michezo 12 ya Ligi daraja la kwanza nchini (Startimes League) kuchezwa katika viwanja mbalimbali…

Continue Reading....

Michezo Saba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Kupigwa

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Michezo Saba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Kupigwa

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti, ikiwa katika mzunguko wa 16 kwa kila timu…

Continue Reading....

Nemanja Vidic Akubali Yaishe Ameamua Kutundika Daluga

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Nemanja Vidic Akubali Yaishe Ameamua Kutundika Daluga

Aliyekuwa beki matata na nahodha wa kilabu ya Manchester United Nemanja Vidic ametangaza kustaafu katika soka ya kulipwa. Raia huyo wa Serbia ambaye alishinda mechi…

Continue Reading....

Breaking News: Samatta Asaini KRC Genk Mkataba wa Miaka Mitano

Posted on: January 29, 2016 - Yohana Chance
Breaking News: Samatta Asaini KRC Genk Mkataba wa Miaka Mitano

NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta tayari ametambulishwa rasmi na ameshakabidhiwa jezi na klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji kwa ajili ya kuanza majumu mapya…

Continue Reading....

Halmashauri ya Nyang’wale Wapokea Zaidi ya Milioni 300 Kutoka Mgodi wa Bulyanhulu

Posted on: January 29, 2016January 29, 2016 - Yohana Chance
Halmashauri ya Nyang’wale Wapokea Zaidi ya Milioni 300 Kutoka Mgodi wa Bulyanhulu

Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu umekabidhi hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni Mia Tatu Thelathini na Nne, Laki Sita na Elfu Themanini na Sita kwa…

Continue Reading....

Alexander Pato Huyoo Chelsea Kukipiga Kwa Mkopo

Posted on: January 29, 2016 - Yohana Chance
Alexander Pato Huyoo Chelsea Kukipiga Kwa Mkopo

Mshambulizi wa Corinthians Alexandre Pato amesema kuwa Chelsea ndio makao yake mapya. Pato aliyasema hayo huku dukuduku zikisema kuwa huenda anaelekea Stamford Bridge kwa mkopo.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari