Siku chache baada ya klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji imsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Manchester City, Arsenal Mambo Safi, Liverpool Yakabwa Koo
MATOKEO YOTE MECHI ZA LEO KOMBE LA FA Liverpool 0 – 0 West Ham United Bolton Wanderers 1 – 2 Leeds United Bury 1 –…
Continue Reading....Kwa Barcelona Hii Mbona Mtakoma Mwaka Huu
Barcelona wameshida kwa bao 2-1 mechi yao ya ligi dhidi ya Atletico Madrid na kuzifanya mbio za kuwania ubingwa wa La Liga kupamba moto nchini…
Continue Reading....Coleen Rooney: Nitakula Kondo Langu La Nyuma
Mke wa nahodha wa Manchester United Wayne Rooney, Coleen Rooney, ametangaza kwamba atakula kondo lake la nyuma baada ya kuzaliwa kwa mwana wao wa tatu…
Continue Reading....Azam yagawa Kichapo kwa Timu ya Chikeck
AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Chikeck Inn ya Zimbabwe katika mchezo wa michuano maalum ya kirafiki mchana wa leo Uwanja…
Continue Reading....Yanga Yakiona Cha Moto Mkwakwani Tanga
Klabu ya Yanga leo imeonja joto ya jiwe kwenye ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu baada ya kujikuta ikitepeta mbele ya Coastal Union…
Continue Reading....