Ligi kuu ya England inatarajia kuendelea tena leo jumanne kufuatia mapumziko ya michuano ya FA, kwa michezo kadhaa,ambapo Arsenal watawakaribisha Southampton,Leicester city watakuwa wenyeji wa…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Ligi ya Uingereza Watumia Zaidi ya Pauni milioni £965m Usajili Dirisha Dogo
Kwa mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa ligi kuu ya Uingereza ,thamani ya uuzaji na malipo ya wachezaji,umegonga pauni bilioni moja. Pauni milioni £965m zilitumika…
Continue Reading....Simba Wapo Kifedha Zaidi, Wafungua Duka La Kisasa Jijini Dar Es Salaam
Klabu ya Simba SC leo imeamua kufanya kweli baada ya kuzungumza mambo mengi ambayo mwisho wa siku yalikuwa yamebaki kwenye makaratasi. Klabu hiyo leo wamezundua…
Continue Reading....Naibu Waziri Atoa Kauli Kali Juu ya Utatuaji wa Matatizo Mpaka wa Holili
Na; Ferdinand Shayo, Arusha. Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Susan Kolimba amezitaka mamlaka zinazofanya kazi katika mpaka kati ya…
Continue Reading....Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ashiriki Ibada ya Kumuingiza Madarakani Askofu Shoo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo (kulia) na Askofu Mkuu wa KKKT…
Continue Reading....Wanafunzi Wa Sekondari Arusha Wapewa Elimu ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa
Mkurugenzi wa Utafiti Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) Dr.Ladislaus Chang`a akizungumza na mamia ya wanafunzi wa shule ya sekondari Arusha juu ya jinsi…
Continue Reading....