Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 158

Author: Yohana Chance

Simba Yajitupa Taifa, Yanga Ndani ya Sokoine Kuikabili Prisons

Posted on: February 3, 2016February 3, 2016 - Yohana Chance
Simba Yajitupa Taifa, Yanga Ndani ya Sokoine Kuikabili Prisons

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara mzunguko wa 17 unatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali, huku kila timu ikisaka pointi…

Continue Reading....

Malinzi Ampongeza Makunga Kuwa Mwenyekiti

Posted on: February 2, 2016 - Yohana Chance
Malinzi Ampongeza Makunga Kuwa Mwenyekiti

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Theophil Makunga kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)…

Continue Reading....

TFF Yasema Hawana Bifu na ZFA, Maana Lengo lao ni Moja

Posted on: February 2, 2016 - Yohana Chance
TFF Yasema Hawana Bifu na ZFA, Maana Lengo lao ni Moja

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limesema hakuna vita kati ya Shirikisho na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) bali mawasiliano yanaendelea kati ya TFF…

Continue Reading....

Kundi la Navy Kenzo Waanza Mwaka Kwa Kishindo

Posted on: February 2, 2016 - Yohana Chance
Kundi la Navy Kenzo Waanza Mwaka Kwa Kishindo

Baada ya kutamba Mwaka Jana Africa nzima na wimbo unaoitwa ‘Game’, Kundi la Navy Kenzo limeanza mwaka vizuri baada ya kutoa wimbo mpya pamoja na…

Continue Reading....

JKT Ruvu Yarejesha Majeshi Ligi Kuu Tanzania Bara

Posted on: February 2, 2016February 2, 2016 - Yohana Chance
JKT Ruvu Yarejesha Majeshi Ligi Kuu Tanzania Bara

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Rais wake, Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa klabu ya Ruvu Shooting kwa kufanikiwa kupanda…

Continue Reading....

Pep Guardiola Achukua Mikoba ya Manuel Pellegrini Kuinoa Manchester City

Posted on: February 2, 2016February 2, 2016 - Yohana Chance
Pep Guardiola Achukua Mikoba ya Manuel Pellegrini Kuinoa Manchester City

Mhispania Pep Guardiola ametia saini mkataba wa miaka mitatu kuwa meneja mpya wa Manchester City baada ya msimu huu kumalizika. Guardiola, atachukua majukumu hayo kuanzia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari