Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 155

Author: Yohana Chance

AFC Kutafuta Heshima Kwa Alliance Sheikh Amri Abeid

Posted on: February 6, 2016 - Yohana Chance
AFC Kutafuta Heshima Kwa Alliance Sheikh Amri Abeid

Raundi ya saba ya Ligi Daraja la Pili nchini (SDL) inaendelea wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa nchini, kwa timu 24 kusaka pointi kutoka makundi…

Continue Reading....

Geita Gold SC, JKT Oljoro Mchezo wa Kufa Mtu Leo FDL

Posted on: February 6, 2016 - Yohana Chance
Geita Gold SC, JKT Oljoro Mchezo wa Kufa Mtu Leo FDL

Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) raundi ya 13 inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa timu 24 [kucheza michezo 12 katika viwanja tofauti, huku kundi A…

Continue Reading....

TFF: Ole Wao Wanaovurunda Ligi Kwa Kupanga Matokeo Chumbani

Posted on: February 6, 2016February 6, 2016 - Yohana Chance
TFF: Ole Wao Wanaovurunda Ligi Kwa Kupanga Matokeo Chumbani

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limewaonya viongozi wa vilabu, wachezaji, waamuzi na wasimamizi wa mchezo kutojihusisha na upangaji wa matokeo (Match fixing) katika…

Continue Reading....

Rais Magufuli Azindua Rasmi Siku ya Kisheria Jijini Dar Es Salaam

Posted on: February 5, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Azindua Rasmi Siku ya Kisheria Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria…

Continue Reading....

Tanzania Yapanda Nafasi Moja Viwango Vya FIFA, Ubelgiji Kinara Wadunia

Posted on: February 5, 2016 - Yohana Chance
Tanzania Yapanda Nafasi Moja Viwango Vya FIFA, Ubelgiji Kinara Wadunia

Ubelgiji imeendelea kukaa katika nafasi ya kwanza kwenye viwango vya ubora vya FIFA kwa muhjibu wa viwango viliyotolewa Alhamisi. Katika kumi Bora imebaki vile vile…

Continue Reading....

Mwenyekiti wa Chama Cha CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Mkoani Singida

Posted on: February 5, 2016February 5, 2016 - Yohana Chance
Mwenyekiti wa Chama Cha CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Mkoani Singida

Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili mjini Singida jana jioni, kwa ajili ya maadhimisho ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari