Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 152

Author: Yohana Chance

Yanga Kutimuka Kesho Kwenda Kuivaa Cercle De Joachim

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Yanga Kutimuka Kesho Kwenda Kuivaa Cercle De Joachim

Kikosi cha Yanga SC kitaanza safari ya kuelekea Mauritius kesho (Jumatano) alfajiri kwenda kukipiga mchezo wa awali wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Cercle De…

Continue Reading....

Elimu Bure? Elimu Bora? Kipi Bora?

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Elimu Bure?  Elimu Bora? Kipi Bora?

Na Ferdinand Shayo. Nachukua Nafasi hii Kumpongeza Rais wa Awamu ya Tano John Pombe Magufuli kwa kwa waraka wake wa elimu bure ambayo itagharamiwa kwa…

Continue Reading....

Serikali Yahimizwa Kuboresha Mzingira ya Kazi Kwa Walimu

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Serikali Yahimizwa Kuboresha Mzingira ya Kazi Kwa Walimu

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Serikali imetakiwa kuboresha mazingira bora ya walimu ili kukuza na kuboresha kiwango cha elimu nchini kwani walimu ni kiungo muhimu katika elimu…

Continue Reading....

DR Congo Wapokelewa Zaidi ya Mfalme, Baada ya Kutwaa Ndoo

Posted on: February 8, 2016 - Yohana Chance
DR Congo Wapokelewa Zaidi ya Mfalme, Baada ya Kutwaa Ndoo

Wachezaji wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamelakiwa kwa shangwe na nderemo katika mji mkuu wa nchi hiyo Kinshasa. Hii ni…

Continue Reading....

ICC Yashutumiwa Kukandamiza Nchi Za Afrika

Posted on: February 8, 2016 - Yohana Chance
ICC Yashutumiwa Kukandamiza Nchi Za Afrika

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya jinai (ICC) imetakiwa kushughulikia malalamiko ya Viongozi wa nchi za Afrika wakiishutumu mahakama hiyo kuwa kandamizi…

Continue Reading....

DR Congo Watwaa Ubingwa wa CHAN 2016 Nchini Rwanda

Posted on: February 7, 2016 - Yohana Chance
DR Congo Watwaa Ubingwa wa CHAN 2016 Nchini Rwanda

JAMHURI ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ndiyo mabingwa wa Michuano ya Ubingwa wa Mataifa (CHAN), inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee. Hiyo inafuatia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari