Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 151

Author: Yohana Chance

Welbeck Alejea Uwanjani na Kuipaisha Arsenal

Posted on: February 14, 2016February 14, 2016 - Yohana Chance
Welbeck Alejea Uwanjani na Kuipaisha Arsenal

Danni Welbeck ambaye alikuwa anacheza mechi yake ya kwanza tangu Aprili mwaka uliopita ameifungia Arsenal bao la pili na la ushindi dhidi ya vinara wa…

Continue Reading....

Waziri Nchemba Akasirishwa na Ukiukwaji wa Sheria za Mifugo

Posted on: February 9, 2016February 9, 2016 - Yohana Chance
Waziri Nchemba Akasirishwa na Ukiukwaji wa Sheria za Mifugo

chanzo millardiayo.com Mbuzi 75 wakatwa mapanga na wengine kuuawa Mkoani Morogoro, Huku waziri wa mifugo, kilimo na uvuvi Mwigulu Nchemba akikasiliwa na Kitendo hicho cha…

Continue Reading....

Mke Wa Waziri Mkuu Anusurika Kufa Kwenye Ajali

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Mke Wa Waziri Mkuu Anusurika Kufa Kwenye Ajali

Mke wa waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda amenusurika kifo baada ya gari alilokua akisafiria kugongana na pikipiki mkoani Morogoro jana jioni. Mama…

Continue Reading....

Hofu Yatanda Barcelona Baada ya Messi Kukutwa na Tatizo la Figo

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Hofu Yatanda Barcelona Baada ya Messi Kukutwa na Tatizo la Figo

Mshambuliaji wa kilabu ya Barcelona Lionel Messi alikosa mazoezi siku ya jana Jumatatu ili kupimwa figo yake. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina alikosa kucheza…

Continue Reading....

Zouma Hataonekana Dimbani tena Hadi Msimu Ujao

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Zouma Hataonekana Dimbani tena Hadi Msimu Ujao

Beki wa klabu ya Chelsea Kurt Zouma atakua nje ya uwanja kwa miezi sita baada ya kuumia goti kwenye mchezo dhidi ya Manchester United. Zouma,…

Continue Reading....

Kamusoko Ampiku Tambwe, Baada ya Kutangazwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Kamusoko Ampiku Tambwe, Baada ya Kutangazwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi

Mchezaji Thaban Kamusoko amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Disemba, 2015 baada ya kumshinda mchezaji mwenzake wa Yanga (Amissi Tambwe).…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari