SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) jana limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya watani wa jadi Simba SC na…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Manchester United, Liverpool na Tottenham Ndani ya EUROPA Ligi
Raundi ya Mtoano ya Timu 32 ya UEFA EUROPA LIGI itachezwa Wiki hii kwa Mechi 16 na England ina Timu 3 ambazo ni Manchester United,…
Continue Reading....TFF Wamkomalia Mwinyi Kazimoto Kumpiga Mwandishi wa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa ya kupigwa kwa mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Mwanaspoti nchini, Mwanahiba…
Continue Reading....Sir Bobby Charlton Kuongezewa Heshima Manchester United
Jukwaa la Kusini la Uwanjani Old Trafford ambalo ndio sehemu pekee ya Uwanja wa awali uliojengwa Mwaka 1910 ambayo imebakia litabatizwa Jina la Lejendari wa…
Continue Reading....Duu! Kweli Van Gaal Ana Roho Ngumu, Hebu Soma Hii Habari
Meneja wa Manchester United Louis van Gaal amesema njia rahisi sasa kwa klabu hiyo kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao ni kushinda…
Continue Reading....Simba Bado Wazisaka Fedha za Mauzo ya Samatta
Timu ya Simba iko katika mazungumzo yanayoendelea vema ili iweze kupata mgao wake baada ya aliyekuwa mchezaji wake Mbwana Ally Samatta kuuzwa huko Ubeligiji. Simba…
Continue Reading....