Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 145

Author: Yohana Chance

Rais Magufuli Akutana na Wasanii Ikulu Kushiriki Chakula

Posted on: February 19, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Akutana na Wasanii Ikulu Kushiriki Chakula

Wasanii wa Tanzania jana walialikwa na kula chakula cha mchana pamoja na Rais John Pombe Magufuli tangu ateuliwe,Rais Magufuli amekutana na wasanii hawa kama miongoni…

Continue Reading....

Refarii Apigwa Risasi Hadi Kufa kwa Kumwonesha Kadi Nyekundu Mchezaji

Posted on: February 19, 2016February 20, 2016 - Yohana Chance
Refarii Apigwa Risasi Hadi Kufa kwa Kumwonesha Kadi Nyekundu Mchezaji

Refarii mmoja nchini Argentina amepigwa risasi na kuuawa na mchezaji aliyemuonesha kadi nyekundu uwanjani katika mechi ya daraja la pili. Refarii huyo Cesar Flores alikuwa…

Continue Reading....

Yanga Kutua Dar es Salaam Leo, Tambo Kibao za Kumuua Mnyama

Posted on: February 19, 2016February 19, 2016 - Yohana Chance
Yanga Kutua Dar es Salaam Leo, Tambo Kibao za Kumuua Mnyama

Kocha Mkuu wa Simba, Jackson Mayanja ameamua kikosi chake kuwa kinapata dozi moja tu kwa siku. Uamuzi huo wa Mayanja ni wakati wa maandalizi ya…

Continue Reading....

Duu Simba Nouma Wazifuata Fedha zao TP Mazembe Kwa Kumuuza Samatta

Posted on: February 19, 2016 - Yohana Chance
Duu Simba Nouma Wazifuata Fedha zao TP Mazembe Kwa Kumuuza Samatta

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe yupo Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tangu jana kuchukua mgawo wao wa…

Continue Reading....

Cannavaro Hatihati Kumkosa Mnyama Simba Kesho

Posted on: February 19, 2016February 19, 2016 - Yohana Chance
Cannavaro Hatihati Kumkosa Mnyama Simba Kesho

NAHODHA wa Yanga SC, Nadir Haroub Ali ‘Cannavaro’ hayuko tayari kwa mchezo dhidi ya mahasimu, Simba SC Jumamosi, baada ya kushindwa kuendelea na mazoezi kutokana…

Continue Reading....

Coastal Union Watua Shinyanga Waifuata Mwadui ya Julio

Posted on: February 19, 2016 - Yohana Chance
Coastal Union Watua Shinyanga Waifuata Mwadui ya Julio

Mabingwa wa zamani wa Mpira wa Miguu Tanzania bara, Coastal Union ya Tanga imeondoka Tanga jana Alhamis kuelekea mkoani Shinyanga kucheza na timu ya Mwadui…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari