Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 141

Author: Yohana Chance

Kama Ulipitwa: Pata Picha 20 Mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga

Posted on: February 22, 2016February 22, 2016 - Yohana Chance
Kama Ulipitwa: Pata Picha 20 Mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga

Kwa wale wapenzi wa soka hasa wapenzi wa Mnayama Simba najua Mwishoni mwa wiki siku zao hazikwenda sawia baada ya timu yao kukubali kichapo cha…

Continue Reading....

Anza Upya Leo Ufanikiwe

Posted on: February 22, 2016 - Yohana Chance
Anza Upya Leo Ufanikiwe

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Haijalishi umepitia magumu mangapi,mateso na manyanyaso,haijalishi umekataliwa mara ngapi ,haijalishi umekatishwa tama mara ngapi,haijalishi umeanguka mara ngapi chamsingi nyanyuka endelea kukaza mwendo…

Continue Reading....

Moyes Atoa Onyo Kali Kwa Uongozi wa Manchester United Juu ya Van Gaal

Posted on: February 22, 2016 - Yohana Chance
Moyes Atoa Onyo Kali Kwa Uongozi wa Manchester United Juu ya Van Gaal

Baada ya kuzuka manenop Mengi juu ya Kocha Mkuu wa Klabu ya Manchester United Luis Van Gaal kwa Kubolonga,Meneja wa zamani wa Manchester United David…

Continue Reading....

Duuu Hii Kali Kumbe Nywele Nazo ni Dili, Nywele za Msanii Zauzwa Dola 35,000

Posted on: February 22, 2016February 22, 2016 - Yohana Chance
Duuu Hii Kali Kumbe Nywele Nazo ni Dili, Nywele za Msanii Zauzwa Dola 35,000

Mjini kila kitu kina thamani yaani ukikihitaji lazima utoe hela, sikia hii, Shungi la nywele ya msanii nguli wa muziki chapa Rock na muanzilishi wa…

Continue Reading....

Chelsea Yaifanyia Kitu Mbaya Manchester City Darajani

Posted on: February 22, 2016 - Yohana Chance
Chelsea Yaifanyia Kitu Mbaya Manchester City Darajani

Timu ya Chelsea ya Uingereza imetinga hatua ya robo fainali katika mashindani ya Emirates FA Cup baaada ya kuilaza timu ya Manchester City Mabao 5-1…

Continue Reading....

Ronaldo Akosa Penati Huku Madrid Ikikabwa Koo na Malaga

Posted on: February 22, 2016 - Yohana Chance
Ronaldo Akosa Penati Huku Madrid Ikikabwa Koo na Malaga

Madrid imekabwa koo na timu ya Malaga kufuatia sare ya 1-1 katika mchezo uliopigwa jana na kupelekea kuwa pointi 9 nyuma ya mahasimu wao Barcelona…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari