Rufaa iliyowasilishwa kwa kamati ya nidhamu ya FIFA na aliyekuwa rais wa shirikisho la Soka Duniani FIFA Sepp Blatter na rais wa UEFA Michel Platini…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Yanga Yasubilia Mtu Robo Fainali Michuano ya Azam
Klabu ya Yanga imekuwa ya kwanza kufuzu kucheza robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cu (ASFC) baada ya jana kuichapa JKT Mlale ya…
Continue Reading....Kweli Messi Hazuiliki Aizima Arsenal Emirates, Wenger Ahaidi Kulipa Kisasi
Usiku wa kuamkia leo ligi ya Mabingwa Barani ulaya iliendea kwa Michezo miwili ambapo katika uwanja wa Emirates Arsenal imeambulia kichapo cha mabao mawili kwa…
Continue Reading....Juve yachomoa Mabao Dakika za Usiku Ikiilazimisha Bayarn 2-2
Usiku wa kuamkia leo ligi ya Mabingwa Bayern ulaya iliendea kwa Michezo miwili ambapo Juventus Ikitoka nyuma Mabao mawili bili na hatimaye kusazisha na kutoka…
Continue Reading....Pierre Aubameyang Asababisha Mechi Kuvunjika Ujerumani
Refarii mmoja nchini Ujerumani alishangaza wengi baada yake kuondoka uwanjani na kuacha mechi imesimama kufuatia kisa kilichomhusisha meneja wa timu moja iliyokuwa ikicheza uwanjani. Refa…
Continue Reading....TFF Yaanza Mikakati ya Kuwekeza Soka la Wanawake
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Taasisi binafasi ya Karibu Tanzania Association (KTA) kwa pamoja wamezindua programu ya maendeleo ya soka…
Continue Reading....