Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 136

Author: Yohana Chance

Pata Matokeo na Ratiba ya Michuano ya FA

Posted on: February 27, 2016February 27, 2016 - Yohana Chance
Pata Matokeo na Ratiba ya Michuano ya FA

Na; Binzubeiry.co.tz TIMU za Mbeya City na Mwadui FC zimetinga Robo Fainali ya Kombe ka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam…

Continue Reading....

Yanga Yaisamabaratisha Cercle de Joachim Sasa Kuikabili APR

Posted on: February 27, 2016February 29, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yaisamabaratisha Cercle de Joachim Sasa Kuikabili APR

Na shaffihauda.com Yanga imefanikiwa kuiondosha timun ya Cercle de Joachim ya Mauritius kwa jumla ya bao 3-0 baada ya leo kuichapa kwa bao 2-0 kwenye…

Continue Reading....

Arsenal Kumkosa Chamberlain Kesho Watakapoivaa Man United

Posted on: February 27, 2016 - Yohana Chance
Arsenal Kumkosa Chamberlain Kesho Watakapoivaa Man United

Kiungo wa kati wa kilabu ya Arsenal Alex Oxlade Chamberlain hatocheza kwa wiki kadhaa kutokana na jeraha la goti ,mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema.…

Continue Reading....

Ligi Daraja La Pili Kuendelea Leo, Pata Msimamo Hapa

Posted on: February 27, 2016 - Yohana Chance
Ligi Daraja La Pili Kuendelea Leo, Pata Msimamo Hapa

Ligi Daraja la Pili (SDL) inatarajiwa kumalizika wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa katika makundi ya A, B, C & D katika viwanja mbalimbali nchini,…

Continue Reading....

Infantino ni Rais Mpya wa FIFA Akimrith Blatter Kwa Kupata Kura Nyingi

Posted on: February 27, 2016 - Yohana Chance
Infantino ni Rais Mpya wa FIFA Akimrith Blatter Kwa Kupata Kura Nyingi

Raia wa Switzerland Gianni Infantino amechukua mahala pake Sepp Blatter kama rais wa shirikisho la soka duniani Fifa. katibu huyo mkuu wa Fifa alipata kura…

Continue Reading....

Mwigizaji Tony Burton Afariki Dunia Kifo chake ni Utata Mtupu

Posted on: February 27, 2016 - Yohana Chance
Mwigizaji Tony Burton Afariki Dunia Kifo chake ni Utata Mtupu

Tony Burton aliyeshiriki katika filamu sita za Rocky dhidi ya Sylvester Stallone amefariki akiwa na umri wa miaka 78. Kiini cha kifo chake bado hakijulikani…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari