Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 120

Author: Yohana Chance

FIFA Yatembeza Rungu kwa Maafisa wa Soka Afrika ya Kusini

Posted on: March 15, 2016 - Yohana Chance
FIFA Yatembeza Rungu kwa Maafisa wa Soka Afrika ya Kusini

Shirikisho la soka duniani FIFA limewapiga marufuku maafisa 3 wa shirikisho la soka la Afrika Kusini kwa tuhuma za kupanga mechi. Maafisa hao watatu wakiongozwa…

Continue Reading....

Ajibu Aendelea Kung’alisha Nyota Yake Msimbazi

Posted on: March 15, 2016 - Yohana Chance
Ajibu Aendelea Kung’alisha Nyota Yake Msimbazi

Ikiwa ni tunzo ya 4 tangu kuanza kwa zoezi la kumchagua mchezaji bora wa mwezi ambapo zoezi hili lilianzishwa mwezi Septemba, 2015 likiwa na dhumuni…

Continue Reading....

Kivumbi cha kutinga robo fainali Ligi ya Mabingwa Kuendelea Leo

Posted on: March 15, 2016 - Yohana Chance
Kivumbi cha kutinga robo fainali Ligi ya Mabingwa Kuendelea Leo

Nafasi nne za mwisho za michuano ya robo fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya – UEFA Champions League zitajulikana leo Jumanne na kesho Jumatano…

Continue Reading....

TFF Yamaliza Mkutano Wake Mkuu, Kilichobaki Matekelezo

Posted on: March 14, 2016 - Yohana Chance
TFF Yamaliza Mkutano Wake Mkuu, Kilichobaki Matekelezo

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limefanya Mkutano Mkuu wa Mwaka katika Ukumbi wa Hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga ambapo mgeni Rasmi alikua…

Continue Reading....

Mkoa Tanga Wapata Kituo Cha Kukuzia Michezo

Posted on: March 14, 2016 - Yohana Chance
Mkoa Tanga Wapata Kituo Cha Kukuzia Michezo

Mkuu wa Mkoa Tanga, Mwantumu Mahiza ameweka jiwe la msingi katika eneo la kituo cha michezo cha kukuzia vipaji lilipo eneo la Mikanjuni jijini Tanga.…

Continue Reading....

Arsenal Yavuliwa Ubingwa FA Kwa Kichapo Kutoka kwa Watford

Posted on: March 14, 2016 - Yohana Chance
Arsenal Yavuliwa Ubingwa FA Kwa Kichapo Kutoka kwa Watford

Michuano ya FA iliendelea tena jana kwa mabingwa wake Arsenal kuvuliwa ubingwa baada ya kuchapwa na Watford kwa mabao 2-1. Mabao ya Watford yalifungwa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari