
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Julius Mogela akionyesha kadi yake, kwa wananchi kabla ya kumkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) baada ya kutangaza kuhamia CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Aprili 17, 2013, kwenye stebdi ya mabasi, Ifakara mkoani Morogoro.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi kwenye uwanja wa stendi ya mabasi, mjini Ifakara mkoani Morogoro, Aprili 17, 2013.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifurahi na watoto katika mtaa wa Manjechanga, Ifakara mkoani Morogoro, Aprili 17, 2013.