
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akitoa ufafanuzi leo jijini Dar es Salaam kuhusu zoezi linaloendelea la uingizaji wa taarifa za sensa ya majaribio kwenye mfumo kwa komputya mara baada ya kumalizika hivi karibuni katika maeneo mbalimbali nchini. Kulia ni Mwakililishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu(UNFPA) DK. Julitta Onabanjo.