Ziara ya Pinda Musoma Vijijini mkoani Mara Posted on: September 20, 2011 - jomushi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili Nyumbani kwake Mwitongo Butiama akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)