Ziara ya Lazaro Nyalandu wilayani Tarime

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele kabla ya kuanza ziara ya kutembelea Mpaka wa Tanzania na Kenya katika mji wa Sirari.

Related Post

3 thoughts on “Ziara ya Lazaro Nyalandu wilayani Tarime

  1. Kazi gongana ndio maana hatuendelei..naibu waziri wa viwanda anatembelea mipaka na waziri wa mambo ya nje au ya ndani atatembelea viwanda

    1. well,lazima ajue mipaka ya kufanyia biashara, hasa mpakani kuna biashara kubwa au…naibu waziri wa viwanda na biashara
      well done…usimwamshe aliyelala utalala wewe…..

  2. Well,lazima ajue mipaka ya kufanyia biashara kwani mpakani hakuna biashara? au…..naibu waziri viwanda na biashara,well done

Comments are closed.