Yanayodaiwa kuwa makazi ya Osama bin Laden Posted on: May 5, 2011 - jomushi Jengo kumbwa ambalo linasemekana alikuwa akiishi Osama bin Laden, ambaye Marekani imetangaza kumuua kiongozi huyo wa kundi la magaidi.