
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, GEORGE YAMBESI amewataka wajumbe wa umoja wa vituo vya elimu kwa njia ya mtandao barani AFRIKA washirikiane na makampuni ya TEHAMA na simu za mikononi kuwafikishia elimu wananchi walio maeneo ya Vijijini
Bwana Yambesi ndiye aliyeufungua mkutano huo leo. (Picha na Chris Mfinanga)
Yambesi Awataka Wajumbe Elimu ya Mtandao Afrika Kushirikiana
