


[caption id="attachment_62470" align="aligncenter" width="800"]
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Lilian Beleko akiuliza swali kwa wahusika wa Kituo cha Utamaduni cha Watu wa China wakati wa ziara ya watumishi wa Wizara hiyo katika kituo hicho kilichopo Upanga jana jijini Dar es Salaam.
nyakazi wa Wizara hiyo kujifunza kozi hiyo bila malipo yeyote.Kulia ni Mwalimu wa Kituo hicho Bi. Shen Dongmei. Picha na: Frank Shija, WHVUM.[/caption]
