Wellcome home Dk. Ulimboka! Dk Ulimboka arejea Tanzania Posted on: August 12, 2012August 13, 2012 - jomushi Dk. Ulimboka akipokelewa na baadhi ya madaktari kaatika uwanja wa ndege wa Mwl.Nyerere kundi la watanzania walifika uwanja wa ndege kumpokea Dk. Ulimboka