Waziri Pinda Azindua Mpango kazi wa Huduma ya Watoto Waishio katika Mazingira Magumu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ana mkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa Tasaf bwana Ladislaus Mwamanga kitabu alicho kizindua cha mpango kazi cha kitaifa awamu ya pili cha huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi uzinduzi huo ulifanyika kitaifa mkoani dodoma picha na chris mfinanga
picha ya pamoja
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anahutubia wana nchi wa mkoa wa Dodoma wakati wa uzinduzi wa mpango (2013 hadi 2017 ) wa pili wa kitaifa wa huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi hapa nchini uzinduzi huo umefanyika kitaifa mkoani Dodoma nakuhudhuriwa na Mawaziri mabalozi wanao wakilisha nchi zao pamoja na mashirika ya kimataifa picha na CRIS MFINANGA

Related Post

One thought on “Waziri Pinda Azindua Mpango kazi wa Huduma ya Watoto Waishio katika Mazingira Magumu

  1. Ni hatua nzuri kwa serikali kwani hata watoto walio katika mazingira hatarishi wanayo haki ya msingi ya kushiriki katika frusa mbalimbali zinazo tolewa na serikali hivyo basi ni wajibu wa serikali na wadau wengine kulipa jambo hili uzito wa pekee ili kuwezesha kufanikisha adhima ya serikali kwani mtoto ni nguzo ya taifa lazima tuweze kumjari na kumpa haki za msingi ili aweze kukuwa akiwa na uwezo mkubwa wa kutenda mambo yake mwenyewe pasipo kutegemea watu wengine kwani ninacho kiamini ni kuwa kila mtoto anaweza hivyo lazima kila mtoto tumjari bila kuangalia sehemu anapotoka.

Comments are closed.