Waziri Membe afanya mazungumza na Balozi wa Libya


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe (Mb), akizungumza na Balozi wa Libya nchini, Profesa, Ahmed A. El Ash’hab baada ya balozi huyo kuitwa wizarani jana kufuatia ubalozi huo kubadilisha Bendera ya nchi bila kufuata taratibu. (Picha na Tagie Daisy Mwakawago wa Wizara ya Mambo ya Nje).

Related Post

One thought on “Waziri Membe afanya mazungumza na Balozi wa Libya

  1. Hapa tusilofahamu ni lini walibadili nafsi zao, nadhani hilo ndio tunatakiwa kuwauliza, maana bendera tuliiona. Nadhani hilo ndilo wanalotakiwa kuulizwa maana tunapata shida hatujui wako hapa wakimwakilisha nani?

Comments are closed.