Wanatafutwa Wapishi Wawili Kufanya Nyumba Binafsi Dar Posted on: October 10, 2013 - jomushi Wanatafutwa wapishi wawili kufanya kazi kwenye nyumba binafsi hapa Hapa Dar es Salaam. Ambao wanahisi wanaweza na wana uwezo wa kufanya kazi hiyo kiufasaha. Wapendao watume CV zao kwenye e-mail hapo chini: cvyangu2013@gmail.com