Wajumbe wa Bodi ya PSPF Watembelea Mradi wa Nyumba za Wanachama Chanika

Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF wakiwa ziarani katika Mradi wa Nyumba za wanachama ulioko Chanika Buyuni Dar es Salaam. Mradi wa nyumba hizi una jumla ya nyumba 641 Dar es Salaam (491), Morogoro (25), Mtwara (50), Shinyanga (50) naTabora (25).
Mshauri Muelekezi kutoka Chuo cha Kikuu cha Ardhi Dk. Huba Nguluma akitoa maelezo kuhusu mradi wawa ujenzi unaoendelea wa Jengo la kitega uchumi la PSPF lililoko Sokoine Drive kwa Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF. (Picha na Super d boxing Blogu)

Related Post

2 thoughts on “Wajumbe wa Bodi ya PSPF Watembelea Mradi wa Nyumba za Wanachama Chanika

  1. Hello, habari yenu haioneshi tarehe. Yaani ukurasa huu ulikuwa published lini? Asanteni

    1. Asante, kwa maoni iliingizwa na kutokea tatizo kiufundi. Na si kwa habari zote. Pole kwa hilo, endelea kutembelea mtandao kwa habari na matukio zaidi.

Comments are closed.