Related Post

3 thoughts on “Waheshimiwa Sitta na Mrema vipi tena?

  1. haya niambie kwa mtaji huu taifa litafika wapi maana humu bungeni ndio imekuwa sehemu yao ya usingizi vp waha?

  2. Mh haya bwana hawa wazee nazani umri unawapiga kombo mbuna simuoni Ndugai akilala,Lembel,Mkamia,Zito,Mnyika,Lisu, hukumu yao 2015 siyo kazi waliyotumwa hiyo mwili ukichoka na akili inachoka fikra je?ingawa hujitetea kuwa ngombe hazeeki maini lakini msemo huu haukidhi matakwa na kasi ya maendeleo ya milenia.Mw Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa aliwahi kunena haya nanukuu “Ni lazima tukimbie wakati wengine wakiwa wanatembea hi ndo kasi wazee hawa waliyo nayo lakini ni mabingwa wakujitetea waliwahi kutuambia wanalevywa na dawa walizomeza waombe aid au ile sheria ndogo yakutosaini nakutohudhuria vikao vya Bunge inawabana mana nakumbuka Mwenyekiti wa CCM Taifa alipokuwa anatoa semina elekezi kwa makatibu wakuu na Mawaziri aliwaasa kuhudhuria vikao vya bunge nakuwaruhusu ma ofisa habari wao wawe wazungumzaji.we haya.

  3. Duu,hii ndo naiona leo,
    ni bht mbaya tu,sometimes ukikaa muda mrefu automatically kausingizi lazima katakunyemelea…mzee sitta tunamwamini,ni mchapa kazi wa kuigwa.

Comments are closed.