Waganga wa Jadi Wanavyozidi Kutanda Mijini..! Posted on: November 8, 2012 - jomushi Waganga wanavyozidi kuongezeka mjini, kibao hiki kimepigwa leo maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam. Soma mwenyewe ujumbe wa mganga.