Wachezaji wa PSPF na Bunge wakijumuika pamoja kwenye chakula cha jioni baada ya mechi. Pt 1

Wachezaji wa PSPF na Bunge wakijumuika pamoja kwenye chakula cha jioni baada ya mechi. Pt 1

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF, Ndugu Patrick Mongella akiwakaribisha wabunge na wafanyakazi wa Bunge kwenye chakula cha jioni.

Ndugu Patrick Mongella (PSPF) na Dyana Chilolo Mbunge wa Viti Maalam Singida wakifungua Mziki katika Sherehe hiyo.

Wadau wa PSPF na wale wa Bunge wakiwa wamejichanganya na kulisakata rumba kwa pamoja.

Rumba likiwa linaendelea kusakatwa.

Mdau akisherehesha

Related Post

2 thoughts on “Wachezaji wa PSPF na Bunge wakijumuika pamoja kwenye chakula cha jioni baada ya mechi. Pt 1

  1. Hii imetulia mkubwa, washkaji wamefurahi kutoka kwa habari hiyo. Na wameahidi kukutumia picha zaidi

  2. Pingback: Backlinks

Comments are closed.