Wachezaji wa PSPF na Bunge wakijumuika pamoja kwenye chakula cha jioni baada ya mechi. Pt 2 Posted on: July 19, 2011July 20, 2011 - Rungwe Jr. Wachezaji wakiwa kwenye utulivu mkubwa Mdau Rahim Hashim akiwa na furaha kubwa ingawa timu yake imeshindwa, bila shaka anatambua kuwa ‘asiyekubali kushindwa si mshindani’. Picha na mdau Rahim Hashim wa Dodoma