Boban akilia kwa uchunguRafiki wa karibu na marehemu ambaye amenusurika kwenye ajali hiyo (kulia) akilia kwa uchungu.Boniface Pawasa akiangua kilio huku akifarijiwaBaadhi ya mashabiki wa Simba wakiwa Hospitali ya Rufaa Muhimbili kushuhudia mwili wa Mafisango.
One thought on “Vilio vya kifo cha Patrick Mafisango vyatawala”
Du! Inauma sana.Poleni sana wana Afrika Mashariki kwa kupotelewa na kifaa muhimu katika mchezo wa soka.Kazi ya Mungu haina makosa.Mungu ailaze roho ya marehemu Patrick Mutesa Mafisango.AMEN.
Du! Inauma sana.Poleni sana wana Afrika Mashariki kwa kupotelewa na kifaa muhimu katika mchezo wa soka.Kazi ya Mungu haina makosa.Mungu ailaze roho ya marehemu Patrick Mutesa Mafisango.AMEN.