Uzinduzi wa Chupa Mpya ya Kinywaji cha Baileys

Wageni waalikwa wakifungua chupa mpya ya Baileys

Meneja wa vinywaji vikali kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti Azda Amani akimimina kinywaji cha Baileys kwa wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa chupa mpya ya kinywaji hicho katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Chupa mpya ya kinywaji hicho ikionekana pichani

Related Post