Ujumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa Waanza na Mtwara

Kinana akihutubia maelfu ya watu katika mkutano wa hadhara uliofanyika soko kuu mjini Mtwara
Mawaziri MWANRI NA CHIZA walioongozana na Sekretarieti ya CCM
KINANA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WENZAKE
Msafara wa pikipiki kutoka Uwanja wa ndege uliowapokea viongozi hao
Wakipokea salamu za heshima uwanja wa ndege baada ya kuwasili

Related Post