
akijaribu kumtoroka Jaku Mohamed wa Ti mu ya Jimbo la
Kikwajuni,katika mshindano ya majimbo mchezo uliochezwa katika Uwanja
wa Mao Dzedong jana,katika mchezo huo Mji Mkongwe ilitoka kifua mbele
kwa 1-0,[Picha na Mwarabu Mmadi.]

Vuai,akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Jimbo la Kikwajuni ,
wakati ufunguzi wa mashindano ya Majimbo ya CCM Wilaya ya Mjini,timu
hiyo ilipocheza na Timu ya Mji Mkongwe,katika mchezo huo Mji Mkongwe
waliwacharaza kikwajuni kwa mabao 1-0,( Picha na Mwarabu Mmadi)
