
| Mtia nia ya kugombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,Priscus Tarimo,akitoa maelezo yake kwa Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Moshi mjini Donatha Mushi alipofika kwa ajili ya zoezi la uchukuaji wa fomu. |
| Mwakilishi wa jamii ya Bantu Union, Omary Mwaliko akirejesha fomu za kuwania kuteuliwa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini mara baada ya kuzijaza
Picha na Dixon Busagaga |
