


Pambano la mpira wa kikapu kati ya timu ya Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma na timu ya Dodoma Spurs (Timu ya Mkoa) ambapo timu ya kitivo cha elimu cha Chuo Kikuu Cha Dodoma iliibuka na ushindi wa vikapu 58 kwa 53 dhidi ya Timu ya Mkoa Wa Dodoma (Dodoma Spurs) katika ligi ya mpira wa kikapu inayoendelea kufanyika katika viwanja vya Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM). Picha Zote na Josephat Lukaza Wa Lukaza Blog http://josephatlukaza.blogspot.com
