
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 – 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki.

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo.

Hi you people I really like you and my God bless you and He shall give more opotunities and achieve your goals.
Mimi binafsi naikubali sana kazi mnayoifanya msikate tamaa. Tuko pamoja.
you people your doing a good job kwakweli I apriciate for sure. siku zote mtu anayefanya kitu kizuri ni muhimu apongezwe msibweteke kwani mmeshaanza kupata upinzani ni lazima muweke status yenu kilelezi alwayzzzzzz good job
you people your doing a good job kwakweli I apriciate for sure. siku zote mtu anayefanya kitu kizuri ni muhimu apongezwe msibweteke kwani mmeshaanza kupata upinzani ni lazima muweke status yenu kileleni alwayzzzzzz good job
Boss hii imetulia mbaya,keep on moving nimeikubali sssssana.
That’s the best asnewr of all time! JMHO