TGNP sasa ‘kuichambua’ bajeti 2011/12 Posted on: May 26, 2011May 26, 2011 - jomushi SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO Mada: UCHAMBUZI WA MWONGOZO WA BAJETI 2011/12 Lini: Jumatano Tarehe 25 Mei, 2011 Muda: Saa 09:00 – 11:00 Alasiri MRAGHBISHI: TGNP MAHALI:Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo WOTE MNAKARIBISHWA