Taifa Stars yamaliza bila kufungana na Malawi Posted on: May 27, 2012 - jomushi Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars wakitoka uwanjani jana jijini Dar es Salaam, mechi yao ya kirafiki kati ya Malawi ilimalizika bila kufungana.