Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Wafanyabiashara

Tag: Wafanyabiashara

Sekta Binafsi Kukutana na Rais Mkutano wa TNBC

Posted on: April 27, 2017 - jomushi
Post Tags: Wafanyabiashara
Sekta Binafsi Kukutana na Rais Mkutano wa TNBC

WADAU wa Sekta binafsi nchini Jumanne wiki hii, wamefanya mkutano ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wao na serikali chini ya jukwaa la Baraza…

Continue Reading....

Mgambo Mwisho Kukamata Wafanyabiashara Ndogondogo – CCM

Posted on: August 26, 2015 - jomushi
Post Tags: Wafanyabiashara
Mgambo Mwisho Kukamata Wafanyabiashara Ndogondogo – CCM

Na Joachim Mushi, Arusha CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kikifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kitahakikisha mgambo wa halmashauri ya jiji hawawasumbui kwa kamatakamata za…

Continue Reading....

Meya Kinondoni Awakabidhi Soko Wafanyabiashara Ndogondogo

Posted on: July 7, 2015 - jomushi
Post Tags: Meya Kinondoni, Wafanyabiashara
Meya Kinondoni Awakabidhi Soko Wafanyabiashara Ndogondogo

Na Mwandishi Wetu MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe…

Continue Reading....

Wafanyabiashara Iringa Mjini Wagoma

Posted on: January 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Iringa, mgomo, Wafanyabiashara
Wafanyabiashara Iringa Mjini Wagoma

Askari  wa FFU  wakizunguka mitaa mbali mbali ya mji wa Iringa jana kama  njia ya  kulinda amani kwa  wafanyabiashara  ambao  waliendelea kutoa huduma  baada ya…

Continue Reading....

Benki ya Posta Yawafunda Wafanyabiashara Tunduma

Posted on: December 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Benki ya Posta, Tunduma, Wafanyabiashara
Benki ya Posta Yawafunda Wafanyabiashara Tunduma

BENKI ya Posta Tanzania (TPB), Tawi la Tunduma imetoa mafunzo kwa wajasiriamali wa Tunduma, wilayani Momba. Semina hiyo iliyohudhuriwa na wajasiriamali wapatao 100, ililenga kuwaelimisha…

Continue Reading....

Wafanyabiashara Mwanza Kukumbwa Magonjwa ya Mlipuko

Posted on: December 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Magonjwa Mlipuko, Mwanza, Wafanyabiashara
Wafanyabiashara Mwanza Kukumbwa Magonjwa ya Mlipuko

Na Kibada Kibada – Mwanza WAFANYABIASHARA ya samaki na bidhaa nyingine za maliasili katika soko la Samaki la Mwalo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemeala Jijini…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari