Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Viongozi

Tag: Viongozi

Viongozi Waanzilishi TAPSEA Walalamikia Uchaguzi wa Chama Chao

Posted on: May 28, 2015 - jomushi
Post Tags: TAPSEA, Uchaguzi, Viongozi
Viongozi Waanzilishi TAPSEA Walalamikia Uchaguzi wa Chama Chao

MGOGORO wa uongozi ndani ya Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) umeingia katika hatua tata baada ya viongozi waanzilishi wa chama hicho kulalamikia uchaguzi uliopangwa…

Continue Reading....

Viongozi Coastal Union Wajipanga Kuepuka ‘Aibu’

Posted on: April 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Coastal Union, Viongozi
Viongozi Coastal Union Wajipanga Kuepuka ‘Aibu’

Na Mwandishi Wetu, Tanga VIONGOZI wa Klabu ya Coastal Union wamewatakiwa kushikamana vilivyo ili kuweza kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika michezo yao iliyosalia katika…

Continue Reading....

Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Chawataka Viongozi Kupitia Kozi ya Maadili

Posted on: December 4, 2014 - jomushi
Post Tags: Kozi ya Maadili, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Viongozi
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Chawataka Viongozi Kupitia Kozi ya Maadili

 Mkuuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,  Profesa, Shadrack Mwakalila.  Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.   CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere…

Continue Reading....

Viongozi wa Chadema Lyamgungwe Wamfuata Mgimwa CCM

Posted on: November 16, 2014November 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Chadema Lyamgungwe, Mgimwa CCM, Viongozi
Viongozi wa Chadema Lyamgungwe Wamfuata Mgimwa CCM

  Mbunge  wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya Chadema  kutoka kwa mmoja kati ya  viongozi wa Chadema   kata ya Lyamgungwe  aliyehamia…

Continue Reading....

Viongozi Wataka Katiba Ijayo Imtambue Mtoto na Haki Zake

Posted on: August 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Haki zao, katiba, Viongozi, Watoto
Viongozi Wataka Katiba Ijayo Imtambue Mtoto na Haki Zake

Na Joachim Mushi MCHAKATO wa kujadili na kuandika Katiba Mpya unaendelea bungeni mjini Dodoma, licha ya kuwepo kwa mvutano na mgawanyiko wa makundi ya wabunge…

Continue Reading....
thehabari