NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani ameupongeza Wakala wa Majengo Nchini (TBA), kwa jitihada wanazozifanya katika kuongeza mapato na kununua vifaa…
Continue Reading....Tag: Sekta ya Ujenzi
Prof. Mbarawa Atoa Miezi Sita Upanuzi Uwanja wa Ndege Mwanza
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mkandarasi wa kampuni ya Beijing Construction Engineering Group anayejenga uwanja wa ndege wa…
Continue Reading....Waziri Prof Mbarawa Azinduwa Kozi ya Urubani NIT
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amekitaka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kuhakikisha kinatoa marubani waliobobea katika masuala…
Continue Reading....Ujenzi wa Reli ya Kisasa Kuanza Mwezi Desemba
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge) unatarajiwa kuanza mwezi Desemba mwaka huu…
Continue Reading....Eng. Nyamhanga Awataka Waliolipwa Fidia Kupisha Ujenzi Barabara ya Arusha Bypass
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga amewataka wakazi wa Arusha ambao wameshalipwa fidia kupisha ujenzi wa…
Continue Reading....Profesa Mbarawa Afagilia Upanuzi Uwanja wa Ndege Dodoma
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameridhishwa na maendeleo ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo mpaka sasa ujenzi huo…
Continue Reading....