Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • mwanahabari
  • Page 2

Tag: mwanahabari

Padre Awataka Waumini Kujiweka Tayari kwa Kifo…!

Posted on: June 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Edson Kamukara, kifo, mwanahabari
Padre Awataka Waumini Kujiweka Tayari kwa Kifo…!

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam PAROKO wa Parokia ya Muhimbili ya Bikira Maria Salama ya Wagonjwa, Padre Ephraim Ogha amewataka Watanzania na hasa waumini…

Continue Reading....

Mwanahabari Ajitolea Kupambana na Mauaji ya Albino

Posted on: March 5, 2015 - jomushi
Post Tags: Albino, Mauaji, mwanahabari
Mwanahabari Ajitolea Kupambana na Mauaji ya Albino

Na Mwandishi Wetu MMOJA wa watu wenye ulemavu wa ngozi, albino na mwanahabari shupavu kutoka kampuni ya Mwananchi Communication, Henry Mdimu amejitolea kuwa balozi wa hiyari kupinga…

Continue Reading....

Mwandishi wa Habari Uhuru Kugombea Ubunge

Posted on: December 20, 2014December 20, 2014 - jomushi
Post Tags: mwanahabari, Ubunge, Uhuru
Mwandishi wa Habari Uhuru Kugombea Ubunge

Na Fredy Mgunda, Iringa MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Frank Kibiki, ametangaza nia ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Iringa mjini, kupitia tiketi ya Chama…

Continue Reading....

Wanahabari Mbeya Kutangaza Vivutio Malawi na Zambia

Posted on: September 12, 2014 - jomushi
Post Tags: Malawi na Zambia, Mbeya, mwanahabari
Wanahabari Mbeya Kutangaza Vivutio Malawi na Zambia

BAADHI ya Waandishi wa habari Mkoa wa Mbeya wanaotarajia kufanya ziara ya kimafunzo nchini Malawi na Zambia wameagwa rasmi na viongozi wa Serikali. Waandishi hao…

Continue Reading....

Mwanahabari Alfred Ngotezi afariki

Posted on: December 4, 2011December 4, 2011 - admin
Post Tags: kifo, mwanahabari, ngotezi

TASNIA ya habari Tanzania imepata pigo kubwa baada ya jana kundokewa na mwandishi wa habari mkongwe, Alfred Ngotezi. Taarifa zilizopatikana jana usiku zinaeleza kuwa Ngotezi,…

Continue Reading....

Posts navigation

Newer posts
thehabari