Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Morogoro

Tag: Morogoro

MV Kilombero II Yaanza Kazi Rasmi Baada ya Kuzama

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Morogoro
MV Kilombero II Yaanza Kazi Rasmi Baada ya Kuzama

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kuujulisha umma kuwa kivuko cha MV Kilombero II ambacho kilizama tarehe 27 Januari 2016, na kusababisha kusimama kwa…

Continue Reading....

Wilaya ya Morogoro Yajivunia Kupunguza Maambukizi ya Malaria

Posted on: June 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Maambukizi Malaria, Morogoro
Wilaya ya Morogoro Yajivunia Kupunguza Maambukizi ya Malaria

Na Andrew Chimesela, Morogoro HALMASHAURI ya Wilaya ya Morogoro, imefanikiwa kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa malaria kwa asilimia nane (8) ukilinganisha na maambukizi ya ugonjwa…

Continue Reading....

Mkuu wa Mkoa Aagiza Sheria Zitumike Kuisafisha Morogoro

Posted on: May 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Morogoro, Usafi na Sheria
Mkuu wa Mkoa Aagiza Sheria Zitumike Kuisafisha Morogoro

Na Andrew Chimesela – Morogoro MKUU wa Mkoa wa Morogoro Dk. Rajab Rutengwe ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kutumia sheria zilizopo katika…

Continue Reading....

EU na UN Wavutiwa na Programu za Radio za Jamii Morogoro

Posted on: May 3, 2015 - jomushi
Post Tags: EU na UN, Morogoro, Radio za Jamii
EU na UN Wavutiwa na Programu za Radio za Jamii Morogoro

Continue Reading....

Hofu Magaidi; Wapiga Bomu Kijijini Morogoro, Wanne Wajeruhiwa

Posted on: May 3, 2015 - jomushi
Post Tags: Bomu Kijijini, Morogoro, Ugaidi
Hofu Magaidi; Wapiga Bomu Kijijini Morogoro, Wanne Wajeruhiwa

Na Joachim Mushi, Ifakara HOFU ya watu wanaodhaniwa kuwa magaidi imetanda katika Kijiji cha Msolwa Ujamaa, kilichopo Wilaya ya Morogoro Vijijini baada ya watu wawili…

Continue Reading....

Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Habari Duniani Kufanyika Morogoro

Posted on: April 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Habari Duniani, Morogoro, Siku ya Uhuru
Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Habari Duniani Kufanyika Morogoro

Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari