Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Mgombea

Tag: Mgombea

Mgombea Mwenza CCM Ahaidi Pikipiki 30 za Mikopo kwa Vijana Vunjo

Posted on: August 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Mgombea
Mgombea Mwenza CCM Ahaidi Pikipiki 30 za Mikopo kwa Vijana Vunjo

Na Joachim Mushi, Rombo MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu amesema ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imetoa kipaumbele kwa kuwawezesha vijana…

Continue Reading....

Mgombea wa Urais wa CCM Asaini Hati ya Kiapo Mahakama Kuu

Posted on: August 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Mgombea
Mgombea wa Urais wa CCM Asaini Hati ya Kiapo Mahakama Kuu

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli  akikabidhi hati ya Kiapo mapema leo mchana kwa Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Sekieti…

Continue Reading....

Mgombea Ubunge Jimbo la Mkwajuni Salimini Amour Ajinadi

Posted on: July 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Mgombea, Mkwajuni
Mgombea Ubunge Jimbo la Mkwajuni Salimini Amour Ajinadi

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mkwajuni Zanzibar Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Khamis Mohammed Jecha akifungua rasmini Kampeni xza Wagombea Uwakilishi Ubunge na Udiwani…

Continue Reading....

Mgombea Urais Ukawa; Hakijaeleweka

Posted on: July 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Mgombea, Ukawa
Mgombea Urais Ukawa; Hakijaeleweka

MAMBO yamekuwa mazito. Ndivyo inavyoonekana baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kushindwa kutangaza mgombea urais jana badala yake ukatoa…

Continue Reading....

Fainali Mgombea wa Ukawa Yawadia Leo

Posted on: July 14, 2015 - jomushi
Post Tags: Mgombea, Ukawa
Fainali Mgombea wa Ukawa Yawadia Leo

NI fainali leo pale vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitakapompitisha mgombea wake urais atakayepambanishwa na yule wa CCM, Dk John Magufuli aliyepitishwa…

Continue Reading....
thehabari