Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Mahakamani

Tag: Mahakamani

Afikishwa Mahakamani kwa Kumjeruhi na Chupa Mkewe

Posted on: January 24, 2017 - jomushi
Post Tags: Mahakamani
Afikishwa Mahakamani kwa Kumjeruhi na Chupa Mkewe

  Na Woinde  Shizza, ArushaMFANYABIASHARA maarufu wa madini  jijini Arusha, Venance  Moshi (30) amefikishwa mahakamani na kusomewa maelezo ya awali katika kesi  inayomkabili ya kushambulia na kumjeruhi  mkewe…

Continue Reading....

Wanakijiji Kilombero Kumburuza Mwekezaji Mahakamani

Posted on: January 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Kilombero, Mahakamani, Wanakijiji
Wanakijiji Kilombero Kumburuza Mwekezaji Mahakamani

 Mwangalizi wa LHRC, Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi mwekezaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya Union ambaye…

Continue Reading....

Mtuhumiwa Dawa za Kulevya Auwawa Akitoroka Mahakamani

Posted on: December 31, 2014 - jomushi
Post Tags: Dawa za Kulevya, Mahakamani, Mtuhumiwa
Mtuhumiwa Dawa za Kulevya Auwawa Akitoroka Mahakamani

HABARI ambazo zimetufikia hivi punde zinasema mtuhumiwa mmoja dawa za kulevya raia wa Nigeria amepigwa risasi na kufa papo hapo baada ya kujaribu kutoroka chini…

Continue Reading....

Mgogoro wa Ardhi Kati ya Kenya na Wa-Ogiek Wanguruma Mahakamani

Posted on: November 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Kenya na Ogiek, Mahakamani, Mgogoro wa Ardhi
Mgogoro wa Ardhi Kati ya Kenya na Wa-Ogiek Wanguruma Mahakamani

Na Mtua Salira EANA Arusha MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) yenye makao yake Makuu Mjini Arusha, Tanzania imeanza kusikiliza kesi…

Continue Reading....
thehabari