Tag: kikwete
Hatima ya Bunge la Katiba Mikononi mwa Kikwete
HATIMA ya Bunge Maalumu la Katiba imebaki mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, ambalo limemwandikia barua kiongozi huyo wa nchi kutaka ufafanuzi wa kisheria kuhusu tarehe…
Continue Reading....Kikwete Ashiriki Kujadili Hatari na Athari za Ugaidi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Septemba 2, 2014, ameungana na viongozi wengine wa Afrika na wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani kuhudhuria…
Continue Reading....Kikwete Amvalisha Chiligati ‘Kiatu’ cha Makinda…!
“NIMSHUKURU Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete kwa kuniona na kuniamini na hivyo, kuniteua ili niweze nami kuvaa kiatu anachokiacha…
Continue Reading....Kikwete Azitaka Halmashauri Kununua Nyumba za NHC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa…
Continue Reading....Mjadala Bunge la Katiba Hauninyimi Usingizi – Rais Kikwete
RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali uliotawala Bunge Maalum la Katiba kwa sababu ni muhimu kwa mjadala…
Continue Reading....