Hapo ni Kinondoni Mkwajuni, dereva wa Bodaboda, alinaswa na Mpiga picha wetu akiwa amelala juu ya pikipiki yake, bila shaka baada ya kuchoka kusubiri abiria…
Continue Reading....Tag: kijana
Bustani ya Kupumzikia Yageuzwa Makazi!
Pichani, ni eneo la Umoja Wa Vijana, Mtaa wa Kipande karibu na Exim Bank, inaonekana nguo zikiwa zimeanikwa kwenye Bustani hiyo au kwa ung’eng’e Park.…
Continue Reading....