Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Bukina Faso

Tag: Bukina Faso

Luteni Kanali Issac Zida Kuiongoza Bukina Faso

Posted on: November 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Bukina Faso, Luteni Kanali Issac Zida
Luteni Kanali Issac Zida Kuiongoza Bukina Faso

LUTENI Kanali Issac Zida amechaguliwa na viongozi wa Jeshi la Bukina Faso kuiongoza nchi hiyo kuelekea katika taratibu za kufanya uchaguzi. Baada ya kutoka kwa…

Continue Reading....

Mambo Yaharibika Bukina faso Jeshi Lapindua Nchi

Posted on: October 30, 2014November 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Bukina Faso, Jeshi Lapindua Nchi
Mambo Yaharibika Bukina faso Jeshi Lapindua Nchi

AMIRI Jeshi Mkuu wa Jeshi la Burkina Faso, Jenerali Honore Traore ametangaza kuvunjwa kwa serikali na bunge la nchi. Kiongozi huyo mkuu wa jeshi hata…

Continue Reading....

Waandamanaji Bukina faso Wachoma Bunge Kumpinga Rais

Posted on: October 30, 2014 - jomushi
Post Tags: Bukina Faso, Vurugu, Waandamanaji
Waandamanaji Bukina faso Wachoma Bunge Kumpinga Rais

WANANCHI wa Bukina Faso wanaoendeleza maandamano wameteketeza majengo ya Bunge mjini Ougadougou, ikiwa ni hatua ya kupinga kuongeza muhula wa kutawala kwa Rais Blaise Compaore…

Continue Reading....

Wananchi Bukina Faso Waandamana Kumpinga Rais

Posted on: October 28, 2014October 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Bukina Faso, katiba, Rais
Wananchi Bukina Faso Waandamana Kumpinga Rais

KUMETOKEA vurugu kubwa baina ya maelfu ya waandamanaji na maofisa wa polisi katika Mji Mkuu wa Burkina Faso, Ougadougou wakati maelfu ya raia wa nchi…

Continue Reading....
thehabari